TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
KATIBU
Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mheshimiwa
Wilbroad Slaa, leo, Jumatatu, Mei 13, 2013, amekaririwa na gazeti moja
akidai kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya
Mrisho Kikwete na timu yake ya kampeni, “ilikuwa ikisaka kura kwenye
nyumba za ibada na kumwaga sumu mbaya ya udini ambayo sasa inaitesa
↧