Ni usiku wa jana wakati PHD akizindua wimbo wake wa Rest of my life
ambapo hit maker huyo wa Mama kimbo aliingia kwa stayle ya kuspray
perfume kwa fans wake na kwa bahati isiyo nzuri kwa PHD alispray perfume
kwa mwanadada wa kitasha aliyekuwa akishout kwa kumwita hemed on stage.....
Hemed alikosea kwa kudhani kuwa mwanadada naye anataka apigwe
unyunyu...Alimfuata na "tomasa toma style"
↧