Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF),
Profesa Ibrahimu Lipumba amedai kuwa amenasa taarifa za siri za kuwapo
kwa mipango ya kuongeza muda wa Serikali ya sasa kukaa madarakani.
Rais Jakaya Kikwete
Profesa
Lipumba alisema hiyo inatokana na wasiwasi kuwa mchakato wa Katiba Mpya
hautaweza kukamilika mwaka 2014 hivyo kutokuwa rahisi kwa uchaguzi
kufanyika mwaka 2015.
Akizungumza
↧