Wajumbe
wa Kamati ya Bunge ya Viwanda na Biashara, wakiangalia uzalishaji
walipotembelea kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited
(TDL), Dar es Salaam hivi karibuni.
Baadhi
ya wananchi jijini Dar es Salaam, wamelalamikia hoja iliyozuka bungeni
wiki hii kwamba kinywaji cha Konyagi aina ya Kiroba kipigwe marufuku
nchini.
Wakizungumza
kwa nyakati tofauti wananchi hao
↧