SKENDO nzito inalitafuna Bunge la Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, ikitawala madai kwamba kuna wabunge wawili
wanawake, wamejazwa mimba na waheshimiwa wenzao wanaume.
Awali,
ulitawala uvumi kuwa mmoja wa wabunge wa upinzani (viti maalum),
akitokea Kanda ya Kaskazini, amepewa ujauzito na mheshimiwa mwingine
ambaye ni kiongozi anayeshika nafasi za juu kwenye moja ya vyama vikuu
vya
↧