TAARIFA YA UFAFANUZI KUHUSU BARAZA LA MAASKOFU WA KIPENTEKOSTE TANZANIA
(PENTECOSTAL COUNCIL OF TANZANIA) KUTOKUWA NA UWALIKILISHI KATIKA BUNGE
MAALUM LA KATIBA
1. Uteuzi
wa Wajumbe wa Bunge la Katiba unafanywa kwa mujibu wa Sheria ya
Mabadiliko ya Katiba, Sura, 83 (The Constitutional Review Act, Cap 83).
Sheria hii inaweka mamlaka ya uteuzi, masharti, taratibu, vigezo na
mambo
↧