Bw.
Godfrey Mgimwa akiwa ameshika Passport yake aliyokuwa akiwaonesha
waandishi wa habari leo katika ofisi kuu za CCM mkoa wa Iringa
alipokutana na waandishi wa habari
***
Chama cha
Mapinduzi (CCM) kimekanusha madai yaliyotolewa kwenye pingamizi na
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwamba mgombea wao (CCM)
katika Jimbo la Kalenga, Godfrey William Mgimwa, siyo Mtanzania
↧