Hatimaye Juma Nature, amezungumzia utata ulioibuka kwenye wimbo wake mpya Kama Jana, unaohusiana na kama kweli amemdiss Diamond.
Akiongea na kipindi cha Showtime Next Chapter, Juma Nature aka
Kiroboto amesema jina la ‘Dada Mondi’ lililofanya wengi waamini kuwa ni
version yake ya Diamond, ni jina la msanii mwingine kabisa.
“Hamna diss ya kumdiss Diamond, Diamond hajadisiwa,”
↧