IKIWA imepita miezi kadhaa tangu anaswe katika mtego wa kujiuza, staa wa Bongo, Baby Madaha
ametangaza kuachana na sanaa ya muziki na filamu kwa maelezo kuwa
amechoshwa na maisha ya presha.
Akiongea na mwandishi wetu juzikati jijini Dar es Salaam, Madaha
alisema ishu ile imemsababishia matatizo makubwa ya kifamilia na hata
kibiashara, hivyo kujutia mchezo mzima ulivyokuwa.
↧