Hii ni Video fupi ya Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Bw. Nape Nnauye akisimulia unyama na ukatili unaofanywa na chama pinzani cha CHADEMA kiasi cha kuilazimu CCM nayo kuwatangazia wanachama wake waache unyonge na badala yake wajibu mapigo ya ukatili huo....
VIDEO IKO HAPO CHINI