Na Frank Geofray wa Jeshi la Polisi, Moshi.
Jeshi la Polisi Nchini litaendelea kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia na vitendo vya mauaji yanayosababishwa na Imani za kishirikina kwa kuendelea kutoa elimu kwa jamii juu ya madhara ya vitendo hivyo.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu katika mkutano mkuu wa maofisa wakuu waandamizi unaoendelea
↧