WAKATI mjadala wa kihistoria wa kuunda Katiba mpya ya Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, ukiwa katika hatua ya kupata kanuni za Bunge
Maalumu la Katiba, baadhi ya wajumbe wameamua kuelekeza nguvu kudai
posho nono.
Wajumbe hao wanapinga posho ya sasa ya Sh 300,000 kwa siku, ambayo
kwa wananchi wa kawaida inaonekana ni kubwa, lakini vielelezo vyao ni
taarifa, kwamba wajumbe ambao wanatoka
↧
Wabunge waikataa posho ya sh 300,000 kwa siku....Wanadai eti ni ndogo sana na haiendani na hadhi zao
↧