Mahakama
Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam imesema itasikiliza maombi ya
kufanya marejeo kuhusu kuliondoa shitaka la kukaidi amri halali
iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam
dhidi ya Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Ponda
Issa Ponda (pichani) Februari 26, mwaka huu.
Hatua hiyo imefikiwa jana mahakamani hapo baada ya Sheikh
↧