Habari kwa mujibu wa gazeti la MWANANCHI — Chama cha National
League for Democracy (NLD) Zanzibar kimemtaka, Rais Jakaya Kikwete
kufuta uteuzi wa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kupitia chama hicho
kwa madai kuwa walioteuliwa katika chama hicho ni mtu na mkewe na
kufanya uteuzi huo kukosa sura ya Muungano.
Tamko hilo limetolewa na Naibu Katibu Mkuu wa NLD - Zanzibar, Khamis
Haji
↧