Simu ya kichina yazua balaa wakati wa usikilizwaji wa kesi ya Shehe Ponda...
SIMU ya Kichina imezua balaa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam Jumatano iliyopita wakati wa usikilizwaji wa kesi ya Katibu wa Jumuiya ya Kiislamu, Shehe Ponda Issa Ponda, Ijumaa linakupa...
View ArticleBunge la katiba: Wapentekoste washikana uchawi....Mwenyekiti wa Ushirika wa...
BARAZA la Maaskofu wa Kipentekoste nchini (PCT), limeshauriwa kuonesha kitabu kilichosainiwa na watumishi Ofisi ya Rais, Ikulu baada ya kuwasilisha majina yaliyopendekezwa kwa ajili ya uteuzi wa...
View ArticlePadri wa Kanisa Katoliki afia GEST HOUSE....Mwingine afia kwa hawara yake.
Kiongozi wa Kanisa amekutwa akiwa amefariki dunia kwenye nyumba ya kulala wageni jijini Nairobi na kufanya vifo vya kutatanisha vya viongozi wa kidini kufikia wawili wiki hii. Katika tukio la juzi,...
View ArticleMtoto wa ajabu azaliwa mkoani Iringa....Hafahamiki kama ni wa kiume au wa...
Sophia Kindamba akiwa na mwanae Junior Richard Rutta ..................................... MTOTO Junior Richard Rutta ambaye jinsia yake haieleweki anatafuta msaada utakaomuwezesha kufanyiwa...
View ArticleDiamond kuhudhuria tuzo za 'AFRIMMA' zitakazofanyika Texas Marekani,...
July 26 mwaka huu, wasanii wengi wakubwa Afrika kutoka katika mataifa ya 17 watakutana Dallas, Texas, Marekani kuhudhuria utoaji wa tuzo za kiafrika zinazojulikana kama ‘AFRIMMA Awards’, na tayari...
View ArticleMatokeo ya kidato cha nne 2013 yatangazwa...Bofya hapa ujionee
Baraza la mitihani la Taifa, NECTA, limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika mwezi November mwaka jana, huku kiwango cha ufaulu wa masomo ukipanda kati ya asilimia 0.16 na 16.72...
View ArticleHaya ni majina ya wasichana 10 bora na wavulana 10 bora katika matokeo ya...
Watahiniwa wa kike wamefanya vizuri kwa kuchukua nafasi saba kati ya 10 za juu, huku Shule ya Marian Girls ya Pwani ikiongoza kwa kuwa na wanafunzi wanne. Mwanafunzi aliyeongoza ni Robina Nicholaus...
View ArticleHii ni kauli ya mwanafunzi aliyeshika nafasi ya kwanza kitaifa katika matokeo...
Mwanafunzi aliyeshika nafasi ya tatu kwa ufaulu kitaifa katika Matokeo ya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Nne wa 2013, jana alipoteza fahamu kwa muda baada ya kupata matokeo hayo. Mwanafunzi huyo,...
View ArticleMwalimu auawa na wananchi baada ya kumchinja mwanafunzi
Mwalimu wa madrasa ya Ali Munawar, ustaadhi Mohamed Ngulanjwa (36) wa Mbagala Mianzini jijini Dar es Salaam, ameuawa baada ya kumchinja mwanafunzi wake. Ustaadhi huyo aliyekuwa mwalimu wa madrasa...
View ArticleShilole awashangaa wasichana wasiopenda kuvaa nguo za ndani kwa kisingizio...
Staa wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kuwa huwa anawashangaa wasichana wasiopenda kujisitiri kwa kuvaa nguo za ndani ‘makufuli’. Akistorisha na mwandishi wetu, Shilole...
View ArticleWanataaluma wayakosoa matokeo ya kidato cha nne 2013....Wadai kuwa licha ya...
Siku moja baada ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, kutangaza matokeo ya kidato cha nne na kuonyesha ufaulu kuongezeka kwa asilimia 15, wadau wa elimu wamepinga matokeo hayo kwa madai kuwa ubora...
View ArticleCHADEMA wazindua rasmi kampeni za kuwania Ubunge katika Jimbo la Kalenga....
Viongozi na wanachama wa CHADEMA wakielekea kwenye makumbusho ya Chifu mkwawa kabla ya kuanza kampeni hizo Hapa wakitoka kwenye Makumbusho ya Chifu Mkwawa huku hali ya hewa ikiwa ni ya ubishi kutokana...
View ArticleMajambazi wanne wauawa na jeshi la polisi jijini Arusha wakati wakijiandaa...
Na Rashid Nchimbi wa Jeshi la Polisi Arusha Watu wanne (wanaume) ambao bado hawajafahamika wanaokadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 25 hadi 35 ambao wanasadikiwa kuwa ni majambazi wameuawa baada ya...
View ArticleAjali mbaya ya malori yatokea eneo la Mikese mkoani Morogoro... Dereva mmoja...
Taarifa zilizotufikia hivi punde kutoka Morogoro ni kwamba malori mawili yamegongana eneo la Mikese mkoani humo na kulipuka moto ambapo mojawapo ya lori lilikuwa na shehena ya mafuta... Mpaka sasa...
View ArticlePicha za AJALI mbaya ya malori iliyotokea Mikese Morogoro ambapo DEREVA mmoja...
Baadhi ya watu waliokwama kijiji cha Fulwe kata ya Mikese mkoani Morogoro wakiangalia mwili wa dereva wa lori lililobeba shehena ya mafuta lililokuwa likitoka Dar kueleka upande wa Morogoro, ukiwa...
View ArticlePicha za waziri Magufuli alipotembelea AJALI ya magari yaliyoteketea kwa moto...
Waziri wa Ujenzi,Dkt. John Pombe Magufuli amesafiri akitokea Mkoani Dodoma anakohudhuria Vikao vya Bunge la Katiba na kwenda moja kwa moja Morogoro maeneo ya Mikese (Kilomita kumi kutoka Mzani wa...
View ArticleRais Kikwete aongoza harambee ya kuchangia wodi ya dharura ya watoto na vifaa...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Marais wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjmin William Mkapa baada ya kuwasili katika hafla ya harambee ya kuchangia ujenzi wa wodi ya dharura kwa watoto...
View ArticleOrodha ya majina ya walioitwa na Shirika la Viwango Tanzania ( TBS ) kwenye...
Shirika la Viwango Tanzania linapenda kuwatangazia waombaji wa nafasi za Inspection Technician II, Records Management Assistant II, Inspection Technician II (Deep sea) na Quality Assurance Officer II...
View ArticleBinti wa kitanzania abakwa na kuafriki dunia....Alikuwa nchini China AKIJIUZA...
Kumeibuka mchezo mchafu, kuna Watanzania wanawachukua warembo nchini na kuwapeleka China kwa ahadi kwamba wanakwenda kufanya kazi saluni, wakifika kule wanawanyang’anya paspoti na kuwauza kwa wanaume...
View ArticleJiji la Arusha lavunja nyumba zaidi ya 330 ili kupisha ujenzi wa miradi...
Halimashauri ya jiji la Arusha imebomoa nyumba zaidi ya 330 baada ya kushinda kesi iliyofunguliwa na waliokuwa wapangaji waliokuwa wakipinga amri ya kuhama kupisha zoezi la...
View Article