Kiongozi wa Kanisa amekutwa akiwa amefariki dunia kwenye nyumba
ya kulala wageni jijini Nairobi na kufanya vifo vya kutatanisha vya
viongozi wa kidini kufikia wawili wiki hii.
Katika tukio la juzi, Padri wa Kanisa Katoliki,
Otto Myer (70) ambaye ni raia wa Italia, alikutwa akiwa amefariki saa
tano usiku chumbani mwake kwenye nyumba ya kulala wageni ya the
Consolata huko Westlands,
↧