Kumeibuka mchezo mchafu, kuna Watanzania wanawachukua warembo nchini
na kuwapeleka China kwa ahadi kwamba wanakwenda kufanya kazi saluni,
wakifika kule wanawanyang’anya paspoti na kuwauza kwa wanaume (ukahaba),
sasa yamemkuta Mbongo aitwaye Sabrina au Habiba....
Habari za uhakika kutoka kwa chanzo chetu nchini humo zilisema kuwa,
Sabrina (24), alifariki dunia Alhamisi iliyopita
↧