Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Shilole awashangaa wasichana wasiopenda kuvaa nguo za ndani kwa kisingizio cha joto....

$
0
0
Staa wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kuwa huwa anawashangaa wasichana wasiopenda kujisitiri kwa kuvaa nguo za ndani ‘makufuli’. Akistorisha na mwandishi wetu, Shilole alisema katika maisha yake anapenda sana kujisitiri kwa kuvaa nguo ya ndani hivyo anawashangaa wasanii wanaotembea bila kuvaa nguo hiyo huku wengine wakidai wakizivaa wanahisi kuwashwa

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>