Siku moja baada ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi,
kutangaza matokeo ya kidato cha nne na kuonyesha ufaulu kuongezeka kwa
asilimia 15, wadau wa elimu wamepinga matokeo hayo kwa madai kuwa ubora
wa elimu haukuangaliwa.
Hatua hiyo inatokana na mabadiliko ya viwango
vipya vya alama za ufaulu yaliyofanyika Oktoba mwaka jana, baada ya
Serikali kuweka alama za kufaulu
↧