Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Ajali mbaya ya malori yatokea eneo la Mikese mkoani Morogoro... Dereva mmoja ateketekea kwa moto

$
0
0
Taarifa  zilizotufikia hivi punde kutoka Morogoro ni kwamba malori mawili yamegongana eneo la Mikese mkoani humo na kulipuka moto ambapo mojawapo ya lori lilikuwa na shehena ya mafuta... Mpaka sasa malori hayo yanaendelea kuteketea kwa moto, na dereva mmoja wa lori amefariki. Taarifa zaidi na picha za tukio hili vitawajia punde <!-- adsense -->

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>