Milipuko miwili ya mabomu yautikisa mji wa Zanzibar...
Milipuko miwili inayosadikiwa kuwa ni ya mabomu imetokea katika maeneo mawili tofauti mjini Zanzibar na kusababisha hofu kubwa kwa wananchi.... Mlipuko wa kwanza umetokea katika...
View ArticleMadai ya Wajumbe wa Bunge la Katiba kutaka nyongeza ya posho yagonga MWAMBA...
Madai ya Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutaka nyongeza ya posho ya vikao vya Bunge hilo yamegonga mwamba. Habari kutoka ndani ya kamati iliyoundwa na Mwenyekiti wa Muda wa Bunge la Katiba,...
View ArticleWananchi watishia kuwachoma moto wanajeshi wastaafu wa JWTZ wilayani Arumeru
Zaidi ya wakazi 300 wa kitongoji cha Olmapinuu katika kijiji cha Bwawani wilaya ya Arumeru, juzi waliwashikilia kwa saa sita askari wanne wastaafu wa Jeshi la Wananchgi wa Tanzania (JWTZ) wakiwa na...
View ArticlePicha kutoka bungeni: Waziri mkuu akiwa na wajumbe wa bunge maalumu la katiba...
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Bunge Maalum la Katiba na Mbunge wa Zamani wa Morogoro, Shamim Khan, nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Februari 24, 2014. Kulia ni mbunge wa Sumve...
View ArticlePicha za milipuko ya mabomu iliyotokea Zanzibar leo mchana
Eneo ambalo limeharibika kwa kuchimbika na kitu cha mlipuko katika eneo la mkunazini, na kuleta mtafaruku katika majira ya mchana..Katika mlipuko huo hakuna mtu aliyepata majeraha na uharibifu wa...
View ArticleLady JayDee aeleza sababu za kujifunza Karate...Anataka kumkabili nani? Bofya...
Moja kati ya surprises zilizokuwepo wiki iliyopita ni pamoja na habari ya Lady Jay Dee aka Anaconda kujifua kikomando kuumudu mchezo wa Karate, habari iliyoambatana na picha zikimuonesha akifundishwa...
View Article"Mbunge anayeona posho haimtoshi afungashe virago aondoke"....Mwigulu Nchemba
Wizara ya Fedha imepigilia msumari maombi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba ya kutaka waongezewe posho na kusema anayeona ameacha kazi inayomlipa zaidi kwenda bungeni afungashe virago na kuondoka....
View ArticleBaraza la Mitihani latoa ufafanuzi jinsi alama na MADARAJA ya matokeo ya...
Baraza la Mitihani nchini limetoa ufafanuzi wa alama na madaraja yalivyopangwa kutokana na matokeo ya mtihani wa watahiniwa walioitimu Kidato cha Nne 2012/13 baada ya malalamiko yaliyotokana na...
View ArticleDaktari FEKI akamatwa hospitali ya Muhimbili......Hili ni tukio la tatu...
Hospitali ya taifa ya Muhimbili imemkamata mtu mmoja anae sadikiwa kuwa daktari feki ambaye kwa kipindi kirefu amekuwa akitapeli wagonjwa wanaoenda kutibiwa katika hospitali hiyo ya taifa kwa namna...
View ArticleMwanafunzi wa chuo cha afya Bugando ajishindia gari ya kampuni ya beforward...
Bwa.Marco Hingi akifurahia mara baada ya kujishindia gari hilo aina ya Noah kutoka kampuni ya Be Forward **** Kampuni ya uagizaji wa magari yaliyotumika kutoka JAPAN ya BEFORWARD imeendesha shindano...
View ArticleKijana anusurika kuuawa baada ya kunaswa akiiba ndani ya Kanisa la Kiinjili...
Kijana anayejulikana kwa jina moja la Emmanuel (30), amejikuta akipokea kipigo kizito baada ya kukamatwa akiiba katika Chuo cha Theofilo Kisanji ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania...
View ArticleCHADEMA Majanga tena: Madiwani wake wawili wajiuzulu, Wachana kadi za chama...
Madiwani wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika Manispaa ya Shinyanga wametanganza kujiuzulu nyadhifa zao wakidai uongozi ngazi ya taifa wa chama hicho unaendekeza majungu na...
View ArticleDr. Slaa adai kuwa Kiongozi anayetaka kuondoka CHADEMA milango iko wazi...
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amesema kuwa mbunge au diwani anayetaka kuondoka CHADEMA milango iko wazi, kwa sababu hawawezi kumvumilia kiongozi...
View ArticleMagari yatekwa jijini Mbeya, Abiria wajeruhiwa kwa mapanga na...
WATU wasiofahamika majina wala makazi yao, juzi walifunga Barabara Kuu ya Mbeya-Njombe, Wilaya ya Mbarali, mkoani Mbeya kwa kuweka mawe, magogo, kuteka magari na kujeruhi abiria waliokuwa katika magari...
View ArticlePolisi wafafanua jinsi milipuko minne ya mabomu ilivyotekea huko Zanzibar na...
JESHI la Polisi Zanzibar, jana limetoa ufafanuzi wa matukio ya milipuko iliyotokea katika maeneo manne tofauti. Akizungumza na waandishi wa habari, Kamishna wa Polisi Hamdani Omari Makame, alisema...
View ArticleUjumbe wa Ray C kwenda kwa watumiaji wa dawa za kulevya
Ray C ni Miongoni mwa mastar wa Bongo ambao waliingia kwenye matumizi ya dawa za kulevya ingawa baadae alikuja kuacha baada ya kuanza kutumia dozi rasmi ya kuacha matumizi ya dawa hizo. Habari...
View ArticleAli Kiba aeleza sababu ya ukimya wake, ujio wake mwaka huu na kazi aliyofanya...
Kwa kipindi kirefu mkali wa ‘Single Boy’ Ali Kiba amekuwa kimya bila kutoa kazi yake binafsi huku ukimya wake ukizua maswali mengi kwa mashabiki na wadau wa muziki Tanzania. Lakini February 25 Ali...
View ArticleTogolani Mavura ateuliwa kuwa msaidizi wa Rais ( Hotuba )
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Togolani I. Mavura (pichani) kuwa Msaidizi wa Rais (Hotuba) kuanzia Februari 8, mwaka huu, 2014. Taarifa...
View ArticleSheikh Ponda agonga mwamba tena Mahakamani.....Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP)...
Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), ameendelea kuweka pingamizi dhidi ya Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Issa Ponda akipinga maombi yake ya kufanya marejeo ya uamuzi wa Mahakama ya...
View ArticleMavazi ya nguo fupi za kubana ( Vimini ) na mengine ya nusu uchi ni marufuku...
Wajumbe wanawake wa Bunge Maalumu la Katiba na wageni wa jinsi hiyo watakaovaa nguo fupi ‘vimini’ au nguo za kubana, hawataruhusiwa kuingia ndani ya Ukumbi wa Bunge. Hayo yamo katika mapendekezo ya...
View Article