Mamia wamuaga Balozi Kazaura jijini Dar es Salaam
Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa alikuwa miongoni mwa maelfu ya waombolezaji waliofika katika ibada ya kuaga mwili wa Balozi, Fulgence Kazaura aliyefariki dunia mwishoni mwa wiki akiwa katika matibabu...
View ArticleNakala ya pili ya Rasimu ya kanuni za Bunge la Katiba
Itakumbukwa kwamba tarehe 19 Februari 2014 Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum Pandu Kificho aliteua Kamati ya Wajumbe ishirini yenye uwakilishi wa makundi yote yanayounda Bunge Maalum kwa ajili ya...
View ArticleAJABU.......... Mwanamke mmoja mkazi wa Tanga akamatwa Pemba akiwa na Miharadati
picha na maktaba Na Masanja Mabula, PEMBA — JESHI la Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba, linamshikilia mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Mwanaisha Kiyaka Ayoub (30) mkaazi wa Pande Tanga na Chake...
View ArticleNape Nnauye awasha moto Shinyanga
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiangalia matembezi ya mshikamano wakati yakiingia uwanjani kabla hajaanza kuhutubia wakazi wa Shinyanga mjini. Wakazi wa Shinyanga mjini wakiwa na Furaha...
View ArticleBaby Madaha; Shiole hawezi nifikia mimi kwenye muziki...... yeye mcheza...
Baby Joseph ‘Madaha’. MSANII wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph ‘Madaha’ amemchana staa mwenzake, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ kwa kumwambia ni mcheza muziki wa uswahilini (vigodoro). “Hivi huyu ana...
View ArticleTaarifa ya Wizara kuhusu hali ya uzalishaji, upatikanaji, na uhakika wa...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA KILIMO CHAKULA NA USHIRIKA Hali ya uzalishaji, upatikanaji na uhakika wa chakula nchini imeendelea kuwa ya kuridhisha katika maeneo mengi ya nchi kufuatia...
View ArticleKajala Massanja aponea chupuchupu kufa...... ni baada ya kunyweshwa sumu.....
STAA wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja amejikuta katika hali mbaya kufuatia kunyweshwa sumu na mtu ambaye hakuweza kufahamika mara moja. Tukio hilo lilitokea usiku wa Jumapili iliyopita maeneo ya...
View ArticleHii ni kauli ya msanii Diamond kuhusu wasanii wanaolazimisha kumtengenezea...
Msanii Diamond ameiandika hii status na kuisambaza kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii ya Instagram na facebook. <!-- adsense -->
View ArticleTaarifa kuhusu kocha wa Taifa Stars kuachishwa kazi
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen wamekubaliana kuvunja mkataba katika makubaliano ambayo ni siri kwa pande zote mbili. Uamuzi huo ulitangazwa jana...
View ArticleWimbo Mpya:Shetta ft Diamond Platinumz-Kerewa
Shetta ameachia wimbo mpya unaoitwa 'Kerewa',aliomshirikisha Diamond Platinumz,wimbo umetayarishwa na Sheddy Clever. Usikilize hapa
View Article"Nilianza kuvuta sigara ya kawaida, nikaja bangi na baadaye madawa ya...
Mwimbaji mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ amefunguka mazito juu ya matumizi mabaya ya bangi na madawa ya kulevya ikiwa ni pamoja na jinsi alivyokuwa akiyatumia....
View ArticleSteve Nyerere ammwagia SIFA Lulu Michael.....Adai ni miongoni mwa wasanii...
Rais wa Bongo Movie Unit, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amemmwagia sifa staa wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kuwa ni binti mdogo lakini sasa anajitambua tofauti na wasanii wengine wakubwa....
View ArticleBaada ya kusota rumande kwa takribani mwaka mmoja, hatimaye Viongozi wa...
Baada ya kusota rumande kwa takribani mwaka mmoja na miezi minne, viongozi 10 wa Jumuiya ya Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Uamsho) jana waliachiwa kwa dhamana yenye masharti nafuu na kujumuika na...
View ArticleHoma ya nguruwe yalipuka tena jijini Mbeya na kuua zaidi ya 900......Wananchi...
Ugonjwa wa homa ya nguruwe umelipuka tena mkoani Mbeya na kuua zaidi ya nguruwe 900 katika wilaya za Mbeya na Rungwe. Mganga Mkuu wa Mifugo Mkoani Mbeya, Solomon Nong'ona akizungumza nasi jana alisema,...
View ArticleMwigulu Nchemba azindua rasmi kampeni za CCM Kalenga
Abdul Adam, Mtoto wa Spika wa Bunge wa zamani Chifu Adamu Sapi Mkwawa, akimpongeza mgombea wa CCM katika Uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini, Godfrey Mgimwa, wakati wa mkutano wa uzinduzi...
View ArticleRais Kikwete azindua mtambo wa kuhakiki takwimu za Mawasiliano ya simu...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi Mtambo wa Kuhakiki Takwimu za Mawasiliano (Telecommunication Traffic Monitoring System) February 27, 2014 katika jengo la Mawasiliano Towers...
View ArticleJanuary Makamba na Sugu washiriki kwenye wimbo wa hip hop wa kusisitiza sanaa...
Kilio cha wasanii kuitaka katiba mpya kuitambua sanaa ya Tanzania kama sekta rasmi kimepewa sapoti na Naibu waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January makamba na mbunge wa Mbeya Mjini Joseph...
View ArticlePNC afunguka baada Ostaz Juma kuweka picha na Video ikionesha anampigia...
Jumatano (February 26, 2014), Boss wa Watanashati Ostaz Juma alipost picha kwenye ukurasa wake wa Facebook ikimuonesha PNC akimpigia magoti kumuomba msamaha na kuandika “hahaha jamani mziki ni kazi pnc...
View ArticleBasi la Bunda Express lagongana na Treni Manyoni mkoani Singida.....Mmoja...
Mtu mmoja amefariki dunia na wengine 38 wamejeruhiwa vibaya kufuatia ajali ya basi la Bunda Express walilokuwa wakisafirikia kutoka Dodoma kwenda Mwanza kugongana na Treni...
View Article"Huwa nafurahia sana PENZI la mwanaume mweusi, Weupe sina mzuka nao"..Wema...
Mwanadada Wema Sepetu ambaye pia aliwahi kuwa Miss Tanzania 2006 ambaye kwa sasa anaendesha kampuni yake binafsi iitwayo Endless Fame inayojishughulisha zaidi na utengenezaji wa Filamu mbalimbali...
View Article