picha na maktaba
Na Masanja Mabula, PEMBA — JESHI la Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba,
linamshikilia mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Mwanaisha Kiyaka
Ayoub (30) mkaazi wa Pande Tanga na Chake Chake kwa tuhuma za
kupatikana na mafurushi ya bangi.
Akizungumza na mwandishi wa
habari hizi kwa niaba ya kamanda wa Polisi Mkoa huo, Mrakibu Mwandamizi
wa Polisi, Mlenge Mohammed
↧