Quantcast
Channel: MPEKUZI
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Una mtoto mwenye Kipaji na Ungependa aigize na Wema Sepetu, Aunty Ezekiel Na...

  Kupitia mtandao mmoja wa kijamii, Wema ametundika  bandiko  hili  la  ajira..... <!-- adsense -->

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tume ya taifa ya uchaguzi yatangaza Ratiba ya Uchaguzi mdogo wa Ubunge katika...

  Tume ya taifa ya uchaguzi imetangaza ratiba ya uchaguzi mdogo wa jimbo la CHALINZE.Mtakumbuka kuwa jimbo hilo limekuwa wazi baada ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo bwana Said Bwanamdogo kufariki...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Benki ya dunia yabana misaada kwa Uganda ikiwa ni siku chache tu baada ya...

Benki ya dunia imebana msaada wa dola milioni 90 kwa Uganda , siku chache tu baada ya Rais Yoweri Museveni kuidhinisha sheria mpya dhidi ya mapenzi ya jinsia moja.   Sheria iliyoidhinishwa na Rais...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Magufuli akagua mradi wa mabasi yaendayo kasi ( BRT ) jijini...

Kampuni ya Strabag International GmbH inayotekeleza ujenzi wa barabara ya Morogoro kuanzia Kimara hadi Kivukoni hapa jijini Dar es Salaam imetakiwa kuhakikisha kuwa  inakamilisha ujenzi wa sehemu hiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Afisa mstaafu wa NMB afariki dunia kwenye ajali ya Basi la Bunda na...

Basi la Bunda lililokuwa likitokea mjini Dodoma kwenda jijini Mwanza na kugonga kichwa cha Treni maeneo ya mjini Mnayoni,linavyoonekana katika picha baada ya kugonga. Baadhi ya majeruhi wa basi la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

"Tutaandamana Rais Kikwete akisaini nyongeza ya posho kwa wajumbe wa Bunge la...

Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta), limeazimia kuongoza maandamano kote nchini, kama Rais Jakaya Kikwete ataridhia nyongeza ya posho kwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Robina Nicholaus aliyeongoza kitaifa matokeo ya kidato cha nne 2013 ajibu...

Mtandao  wa  Times Fm umefanya mahojiano ‘exclusively’ na Robina Nicholaus, msichana aliyeshika nafasi ya kwanza/ aliyeongoza kitaifa (Tanzania One) kwenye matokeo ya mtihani wa kidato cha nne mwaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Huu ni wimbo mpya wa Mh. January Makamba akishirikiana na mastaa kibao wa Hip...

Naibu Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia,January Makamba pamoja na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu wameshirikishwa kwenye wimbo mpya uitwao 'Haki' uliofanywa na wasanii 13 wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ostaz Juma awatandika tusi wasanii na watangazaji...."Wasanii na Watangazaji...

  Ostaz Juma ameendelea kuongezea petroli kwenye moto aliouwasha juzi  na sasa amewaamkia wasanii na watangazaji wote wa redio nchini akisema njaa inawasumbua na ndio maana wamekuwa wakimsujudia.. Hiki...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sheikh wa Msikiti Mkuu wa Bondeni mkoani Arusha amwagiwa Tindikali....Kosa...

Sheikh wa Msikiti Mkuu wa Bondeni mkoani Arusha, Mustaph Kiago (49) na mwanaye Khalid Mustapha (10), wamemwagiwa kimiminika kinachodhaniwa kuwa ni tindikali wakati wakiingia msikitini. Sheikh  Kiago...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHADEMA yaendelea na kampeni zake za uchaguzi katika jimbo la Kalenga mkoani...

Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chadema taifa, John Heche, akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Lumuli, wakati wa kampeni za kumnadi mgombea wa ubunge katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Kalenga kupitia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jokate aeleza kinachomvutia zaidi kwa Lupita Nyong'o, adai weledi ni kitu...

Jokate Mwegelo amemzungumzia muigizaji wa kike raia wa Kenya, Lupita Nyong’o aliyegeuka mada kubwa Marekani na kung’aa katikati ya mastaa wa Hollywood baada ya kushiriki katika filamu ya 12 Years a...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vyeti vya kuzaliwa sasa kutolewa mashuleni.....

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mfaranyaki, Ruvuma wakifurahia jambo. ************* Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini Tanzania (RITA) ameanzisha mpango wa uandikishaji na utoaji vyeti vya kuzaliwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kampenzi za CCM Kalenga zafunuika kata ya Nziha.....

Mgombea ubunge Jimbo la Kalenga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Godfrey Mgimwa (32), akilakiwa kwa shangwe na vigeregere alipowasili katika Kijiji cha Magubike, Kata ya Nzihi, Iringa Vijijini,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Aunt Ezekiel aeleza kilichomsukuma kufanya Bongo Flava, auelezea wimbo wake...

Msanii wa filamu za Kiswahili, Aunt Ezekiel ambaye anatarajia kuachia wimbo wake mpya wa Bongo Flava alioupa jina la ‘Mguu kwa Mguu’ aliomshirikisha Linex Mjeda, ameeleza sababu kubwa iliyomfanya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Madereva wa malori zaidi ya 300 wagoma kuendelea na safari katika barabara...

Madereva wa malori zaidi ya mia tatu wamegoma kuendelea na safari katika barabara kuu itokayo Dodoma hadi Mwanza baada ya dereva mwezao aliyekuwa akiendesha lori kuvamiwa na majambazi katika eneo la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ikulu yakanusha nyongeza ya posho kwa wabunge....Yasema Rais hajapelekewa...

RAIS Jakaya Kikwete hajaongeza posho kwa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kutoka Sh 300,000 za sasa na kueleza kuwa hajawahi kupokea maombi ya nyongeza ya posho hiyo.   Badala yake amefanya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mtoto wa Sheikh aliyemwagiwa tindikali aanza kuona

Sheikh  wa Msikiti MKuu wa Bondeni, Mustapha Mohamed Kiago (49) na mwanaye Khalid Mustapha (10) wanasadikiwa kumwagiwa tindikali, wanaendele vema.   Wawili hao, wamelazwa kwenye hospitali ya mkoa ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wajumbe wa bunge maalumu la katiba waaswa kutokuwa watumwa wa vyama vyao

WAJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba wameshauriwa kutokuwa watumwa wa kupokea maagizo ya vyama vyao vya siasa kwa hofu ya kupoteza madaraka, kwani wakifanya hivyo watakuwa hawatendei haki wananchi....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri wa Elimu akerwa daraja la TANO kuitwa SIFURI....Asema Unakuaje na...

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa ameelezea kukerwa na daraja la tano katika muundo mpya wa kupanga matokeo, kuitwa sifuri.   Dk. Shukuru Kawambwa, aliyasema hayo jana mjini...

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>