Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa
ameelezea kukerwa na daraja la tano katika muundo mpya wa kupanga
matokeo, kuitwa sifuri.
Dk. Shukuru Kawambwa, aliyasema hayo jana mjini Dodoma alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.
Alivishutumu vyombo vya habari kwa kuchanganya
alama na madaraja yaliyopo katika muundo mpya wa kupanga matokeo ya
mitihani nchini.
↧