Waigizaji wa filamu nchini ambao pia ni wanamuziki wa Bongofleva Hemedy
Suleiman na Najma Datan wamezua maswali kwa watu wanaofuatilia habari za
mastaa wa Tanzania baada ya picha zao wakiwa kimahaba zaidi kuanza
kusambaa.
Katika picha hizo zinazoonekana hapo juu na chini wawili hao
wanabusiana kimahaba kama wapenzi walioshibana. Haijajulikana kama picha
hizo ni za video mpya ya muziki
↧