Picha za kimahaba za Hemed na Najma Datan wakibadilishana ndimi zavuja na...
Waigizaji wa filamu nchini ambao pia ni wanamuziki wa Bongofleva Hemedy Suleiman na Najma Datan wamezua maswali kwa watu wanaofuatilia habari za mastaa wa Tanzania baada ya picha zao wakiwa kimahaba...
View ArticleUSAGAJI wamtesa Jack Wolper
Msanii Jacqueline Wolper, amesema anaumizwa sana na tetesi zinazozagaa kama moto wa kifuu kitaani kuwa anajihusisha na vitendo vya usagaji. Akizungumza nasi kuhusiana na skendo hiyo, mwanadada huyo...
View ArticleMajambazi wauana wenyewe wakiwa njiani kuwapeleka polisi eneo waliko...
WATU wawili wanaosadikiwa kuwa majambazi, wamefariki dunia wakiwa njiani kupelekwa Hospitali ya Wilaya ya Tarime, mkoani Mara ili kupatiwa matibabu baada ya kujeruhiwa na risasi walizopigwa na wenzao....
View ArticleMgogoro CHADEMA wageuka kituko....Ofisi yawekwa makufuli mawili ya makundi...
MGOGORO wa uongozi ndani ya Chadema, umeingia katika hatua nyingine baada ya makada wa chama hicho wanaopingana kimisimamo, kufunga ofisi za chama hicho mjini Mpanda kwa zaidi ya wiki sasa. Makada...
View ArticleLupita Nyong’o ashinda tuzo ya Oscar ya ‘Best Supporting Actress’
Kama ilivyokuwa imetarajiwa na wengi, mwigizaji mashuhuri kutoka Kenya Lupita Nyong'o amenyakuwa tuzo ya Oscar ya mwigizaji msaidizi wa kike kwa jukumu lake la kuelezea masaibu ya Patseh katika...
View ArticleFacebook, Instagram na Whatsapp kusitisha kutoa huduma nchini Uganda, kupinga...
Ikiwi ni siku chache baada ya Rais Yoweri Museveni wa Uganda kusaini muswaada wa sheria ya kupinga ushoga nchini humo, kampuni ya Facebook imetangaza uwezekano wa kusitisha huduma zake nchini Uganda...
View ArticleWananchi Wafunga barabara kupinga mwekezaji kupewa mlima wa dhahabu wilayani...
Wananchi wa kijiji cha Charangwa Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya, wamefunga barabara kuu ya kutokea Mbeya kuelekea mikoa ya kaskazini kama vile Mwanza, Tabora, Singida na Manyara kwa zaidi ya saa tano,...
View ArticleNay wa Mitego afunguka kuhusu dharau za Ostaz Juma ...Adai kuwa Katika watu...
Mkasa wa Ostaz Juma na PNC linaweza kutajwa kuwa moja kati ya matukio yaliyozungumzwa zaidi kwa wiki iliyopitwa kupitia mitandao ya kijamii na baadae kuwa topic kwenye radio na television wiki...
View ArticleMwigulu Nchemba ataka Dr. Slaa na Freeman Mbowe washitakiwe kwa matukio ya...
MWENYEKITI wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Katibu Mkuu wake Dk. Willibrod Slaa, wanatakiwa kushitakiwa kwa matukio ya umwagaji damu nchini, linachapisha hivyo gazeti la Uhuru katika taarifa ya Suleiman...
View ArticleTangazo muhimu kwa wanaotaka kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na...
Kaimu Katibu Mtendaji, Baraza la Mitihani la Tanzania anapenda kuwatangazia watu wote wanaotaka kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa (QT) mwezi Novemba, 2014 kama Watahiniwa wa...
View ArticleKampeni za CCM jimbo la Kalenga zazidi kupamba moto....
Mgombea kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini, Godfrey Mgimwa (wapili kushoto), Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Jesca Msambatavangu na Naibu Katibu Mkuu wa CCM,...
View ArticleCHADEMA wafanya kampeni ya nyumba kwa nyumba kumnadi mgombea wao wa Ubunge...
Meneja Kampeni wa Chama cha Deokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga, Alphonse Mawazo, akicheza ngoma ya jamii ya kimasai baada ya kufanya kampeni ya nyumba kwa...
View ArticleCCM yamteua Samuel Sitta kugombea uenyekiti wa bunge la katiba.....
Kamati ya Uongozi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imempitisha Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, kwa kauli moja kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, linaripoti gazeti la...
View ArticleAbiria AJICHINJA ndani ya basi lililokua likitoka Lindi kwenda jijini Dar es...
AMA kweli duniani kuna mambo kwani dereva na abiria wa basi la Manchester ambalo namba yake haikujulikana mara moja, lililokua likitoka Lindi kwenda jijini Dar es Salaam walijikuta wakiangua vilio...
View ArticleHofu ya vurugu kubwa yatanda jimbo la Kalenga mkoani Iringa baada CCM na...
Zikiwa zimesalia siku 12 kabla ya uchaguzi mdogo wa ubunge wa Jimbo la Kalenga, zimeanza kuonekana dalili za vitendo vya uvunjifu wa amani baada ya vyama vikuu viwili vinavyokabana koo – CCM na...
View ArticleLulu Michael anaswa akipigwa Mabusu na kushikwashikwa Kimahaba na Mwanaume...
Star aliyejaaliwa kipaji cha kuigiza almaarufu kwa jina la Elizabeth Michael "Lulu Michael " amenaswa akipigwa mate na kushikwa kimahaba usiku wa manane ndani ya vichochoro vya jiji...
View ArticleKauli ya waziri wa ELIMU yawachefua walimu....
Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kimekerwa na kauli ya Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa , kuwa serikali inaendelea kujadiliana na taasisi za fedha juu ya namna ya kulipa deni...
View ArticleSerikali yatangaza kuajiri walimu 36,000 mwezi huu....Walimu hao watatakiwa...
Serikali imetangaza kuwajiri walimu wapya 36,071 mwaka huu ambao majina yao yanatarajia kutangazwa katikati ya mwezi huu (Machi) na watatakiwa kwenda kuripoti katika vituo vyao vya kazi Aprili mosi...
View ArticleCCM yasitisha kampeni na kuhudhuria maziko....Yatoa Rambirambi ya sh. MILIONI...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichokuwa kikifanya kampeni katika kijiji cha Kidamale Jimbo la Kalenga, kimelazimika kusitisha kampeni zake kwa muda ili kushiriki maziko ya watu watatu waliofariki dunia...
View ArticleSamson Mwigamba ambaye ni mfuasi wa karibu wa Zitto Kabwe aanzisha chama...
Chama kipya cha siasa cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania) kimeanzishwa na kupewa usajili wa muda huku kikitamba kuwa mbadala wa vyama vyote vilivyopo sasa kwa maelezo kuwa vimekosa...
View Article