Ikiwi ni siku chache baada ya Rais Yoweri Museveni wa Uganda kusaini
muswaada wa sheria ya kupinga ushoga nchini humo, kampuni ya Facebook
imetangaza uwezekano wa kusitisha huduma zake nchini Uganda kama njia ya
kupinga uamuzi huo ambao wamedai kuwa unakiuka haki za baadhi ya watu.
Taarifa iliyotolewa na kampuni hiyo inasema kuwa, Facebook
ilianzishwa kusupport haki za
↧