Kama ilivyokuwa imetarajiwa na wengi, mwigizaji
mashuhuri kutoka Kenya Lupita Nyong'o amenyakuwa tuzo ya Oscar ya
mwigizaji msaidizi wa kike kwa jukumu lake la kuelezea masaibu ya Patseh
katika filamu ya utumwa ya ''12 Years A Slave.''
Nyong’o, 31, aliyeshinda tuzo ya Oscar kwenye filamu yake hiyo ya
kwanza alipata shangwe za nguvu baada ya kutajwa kuwa mshindi.
Amemshinda muigizaji
↧