Wananchi wa kijiji cha Charangwa Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya,
wamefunga barabara kuu ya kutokea Mbeya kuelekea mikoa ya kaskazini kama
vile Mwanza, Tabora, Singida na Manyara kwa zaidi ya saa tano,
wakipinga kitendo cha Serikali kumuuzia mwekezaji mlima wao ambao
wamekuwa wakichimba dhahabu kwa miaka mingi bila ya kuwashirikisha.
Barabara hiyo ilifungwa jana kuanzia saa 11:00
↧