Mkasa wa Ostaz Juma na PNC linaweza kutajwa kuwa moja kati
ya matukio yaliyozungumzwa zaidi kwa wiki iliyopitwa kupitia mitandao ya
kijamii na baadae kuwa topic kwenye radio na television wiki iliyopita.
Ingawa wasanii wengi walilaani kitendo hicho, rapper wa Manzese, Nay
wa Mitego yeye aliiambia Bongo Dot Home ya 100.5 Times Fm kuwa kitendo
alichokifanya Ostaz Juma kupost picha
↧