MWENYEKITI wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Katibu Mkuu wake Dk. Willibrod
Slaa, wanatakiwa kushitakiwa kwa matukio ya umwagaji damu nchini,
linachapisha hivyo gazeti la Uhuru katika taarifa ya Suleiman Jongo
akiripoti kutoka Iringa.
Pia, vyombo vya dola vimelaumiwa kwa kukaa kimya bila kuwachukulia hatua
zakisheria licha ya kushiriki katika matukio yaliyopoteza maisha ya
Watanzania.
↧