Kaimu Katibu Mtendaji, Baraza la Mitihani la Tanzania anapenda
kuwatangazia watu wote wanaotaka kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne
(CSEE) na Maarifa (QT) mwezi Novemba, 2014 kama Watahiniwa wa
Kujitegemea kwamba kipindi cha usajili kwa malipo ya ada ya kawaida
(Shilingi 50,000/=kwa wanaojisajili CSEE na Shilingi 30,000/= kwa
wanaojisajili QT ) kimeongezwa kutoka tarehe 28 Februari, 2014
↧