Meneja Kampeni wa Chama cha Deokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwenye
uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga, Alphonse Mawazo, akicheza ngoma ya jamii ya
kimasai baada ya kufanya kampeni ya nyumba kwa nyumba kumnadi mgombea ubunge wa
chama hicho, Grace Tendega Mvanda, jana asubuhi.
Mzee wa Mila wa
Kimasai katika Kijiji cha Mfyome, Lioper Ilmuduji, akimpatia baraka mgombea
ubunge wa CHADEMA
↧
CHADEMA wafanya kampeni ya nyumba kwa nyumba kumnadi mgombea wao wa Ubunge katika jimbo la Kalenga
↧