Kamati ya Uongozi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imempitisha Waziri wa
Afrika Mashariki, Samuel Sitta, kwa kauli moja kugombea nafasi ya
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, linaripoti gazeti la HabariLeo.
Pia kamati hiyo imempitisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais
(Muungano), Samia Suluhu kuwa mgombea wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa
bunge hilo.
Taarifa kutoka ndani ya
↧