WATU wawili wanaosadikiwa kuwa majambazi, wamefariki dunia wakiwa njiani kupelekwa Hospitali ya Wilaya ya Tarime, mkoani Mara ili kupatiwa matibabu baada ya kujeruhiwa na risasi walizopigwa na wenzao.
Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi wa Tarime/Rorya, Justus Kamugisha, alisema tukio hilo limetokea juzi saa 2:40 asubuhi, katika Kitongoji cha Kokemange, Kijiji
↧