Chama
Cha Mapinduzi (CCM) kilichokuwa kikifanya kampeni katika kijiji cha
Kidamale Jimbo la Kalenga, kimelazimika kusitisha kampeni zake kwa muda
ili kushiriki maziko ya watu watatu waliofariki dunia katika ajali ya
gari iliyotokea katika jimbo hilo.
Ajali hiyo ilitokea juzi kwa kuhusisha gari la kiwanda cha kusambaza
maji ya Afrika cha mkoani humu aina ya Isuzu Foward lenye namba za
↧