Quantcast
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Samson Mwigamba ambaye ni mfuasi wa karibu wa Zitto Kabwe aanzisha chama chake cha siasa kiitwacho ACT-Tanzania

Chama kipya cha siasa cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania) kimeanzishwa na kupewa usajili wa muda huku kikitamba kuwa mbadala wa vyama vyote vilivyopo sasa kwa maelezo kuwa vimekosa demokrasia ya kweli.    Miongoni mwa viongozi wa muda wa chama hicho ni Samson Mwigamba aliyetimuliwa uanachama wa Chadema kutokana na kuhusishwa na waraka uliotaka kumwandaa Zitto KabweImage may be NSFW.
Clik here to view.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>