Zikiwa zimesalia siku 12 kabla ya uchaguzi
mdogo wa ubunge wa Jimbo la Kalenga, zimeanza kuonekana dalili za
vitendo vya uvunjifu wa amani baada ya vyama vikuu viwili vinavyokabana
koo – CCM na Chadema kuanza kutuhumiana kwa vurugu.
Kutokana na hali hiyo, hofu imetanda miongoni mwa
wakazi wa Kalenga kutokana na madai kuwa kila chama kimeingiza watu
kutoka nje ya Mkoa wa Iringa kwa
↧