Chama
cha Walimu Tanzania (CWT) kimekerwa na kauli ya Waziri wa Elimu na
Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa , kuwa serikali inaendelea
kujadiliana na taasisi za fedha juu ya namna ya kulipa deni la
malimbikizo ya mishahara ya walimu yanayofikia Sh. bilioni 61.
CWT imesema kauli hiyo ya serikali ni kutafuta visingizio baada ya
kushindwa kutekeleza ahadi yake kuwa ifikapo
↧