Msimu mpya wa MAISHA PLUS kuanza kuonyeshwa leo usiku katika kituo cha...
Vipindi vya televisheni vya shindano la Maisha Plus kuanza kuonyeshwa leo usiku katika kituo cha televisheni, TBC1. Akizungumza na wanahabari jijini Dar, Mratibu wa Mashindano hayo, Masoud Ali...
View ArticleRidhiwani Kikwete achukua fomu ya kugombea ubunge Chalinze ambapo anatarajiwa...
NA Mwamvua Mwinyi, Gazeti la UHURU, Bagamoyo —HARAKATI za kuwania ubunge katika Jimbo la Chalinze, mkoani Pwani, zimezidi kushika kasi ambapo makada maarufu wa CCM, wamechukua fomu kuwania...
View ArticleNikki wa Pili asema 'Weusi' imemsimamisha kazi Lord Eyez, ni baada ya kudaiwa...
Msemaji kampuni ya Weusi, Nick wa Pili amesema kuwa rapper Lord Eyez amesimamishwa na kampuni hiyo kutokana na kuvunja maadili. Nick wa Pili amesema baada ya kupokea taarifa za Lord Eyez kushikiliwa na...
View ArticleRidhiwani Kikwete ashinda katika Kura za maoni CCM kuwania kiti cha Ubunge...
Wanachama wamemaliza kupiga kura za maoni katika jimbo la Chalinze kumchagua mgombea wa CCM... Matokeo ni kama ifuatavyo: Ridhiwani Kikwete ameshinda kwa kupata kura 758 kati ya kura...
View ArticleMtoto wa miaka 13 anusurika kuchinjwa na baba yake mzazi
Mwanafunzi wa darasa la tatu Shule ya Msingi Majengo, wilayani Kahama, mkoani Shinyanga amelazwa katika Hospitali ya wilaya baada ya kunusurika kifo kutokana na jaribio la kuchinjwa na baba yake mzazi....
View Article"Sipendi kutumia kinga ( Kondom ) ninapokuwa faragha"...Linah
MSANII wa kike anayetesa kwenye Bongo Fleva, Esterlina Sanga ‘Linah’ ametoa mpya baada ya kuibuka na kueleza wazi kuwa, awapo faragha hapendi kutumia kinga. Linah alisema hayo wakati akizungumza na...
View ArticlePicha za Rais Kikwete alipotembelea vikosi vya MAKOMANDO wa JWTZ na Wahandisi...
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Rais Jakaya Kikwete amefanya Ziara ya siku moja katika Vikosi vya Jeshi la Wanannchi wa Tanzania (JWTZ) vya Komando na...
View ArticleHii ni kauli ya Ray C baada ya Lord Eyez ( Mpenzi wake wa zamani ) kukamatwa...
Aliyekuwa mpenzi wa rapper Lord Eyez, mwanamuziki Rehema Chalamila aka Ray C amezungumzia kuhusu sakata la wizi linalomkabili rapper huyo ambaye ni member wa group la Nako 2 Nako Soldiers. Kupitia...
View ArticleMfungwa amjeruhi na kumbaka mwanafunzi wa shule ya msingi.....
Mfungwa aliyekuwa akitumikia kifungo cha miezi sita katika Gereza la Butundwe wilayani Geita amembaka mwanafunzi wa Shule ya Msingi Luhuha iliyoko Tarafa ya Butundwe na kumuumiza sehemu zake za siri,...
View ArticleVictoria Kimani akana kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Diamond, ...Adai kuwa...
Victoria Kimani, mrembo na mwanamuziki raia wa Kenya amekana kuwa na uhusiano wa kimapenzi na CEO wa Wasafi Classic, Diamond Platinumz kufuatia tetesi zilizozagaa baada ya wawili hao kuonekana kwenye...
View ArticleWema Sepetu Aumbuka Baada ya Kumdanganya Pastor Myamba....
Juzi kati Wema Sepetu alialikwa kama mgeni rasmi katika hafla ya chuo cha TFCT cha mafunzo ya filamu kinachomilikiwa na Emmanuel Myamba "Pastor Myamba" ambaye pia ni star wa filamu nchini. Wema...
View ArticleMama ajifungua Mapacha watatu kwa mpigo jijini Arusha.....
Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC), Elishilia Kaaya akiwa amebeba watoto watatu mapacha Catherine, Caroline na Cathrine ambao walizaliwa mwanzoni mwa wiki hii...
View ArticleSuala la JINSIA laibua mjadala ndani ya bunge maalumu la katiba.....
Suala la Jinsia katika uongozi wa Bunge Maalum la Katiba limeibua Mjadala mzito katika nafasi ya Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa bunge hilo. Mjumbe wa Bunge hilo Lediana Mung’ong’o ndiye aliyekuwa...
View ArticleMadhara ya mvua kubwa iliyonyesha leo jijini Dar.....
Magari yakipita katika madimbwi ya maji yaliyotokana na mvua kubwa ya maji iliyonyesha leo kwenye mitaa ya jiji la Dar es Salaam. Mvua kubwa iliyonyesha leo mchana imesababisha...
View ArticleLinah AWATOSA Wanaume wafupi......Adai siyo sampuli yake
Mwanadada mwenye sauti tamu kutoka Jumba la Vipaji Tanzania (THT), Esterlina Sanga ‘Linah’ amesema katika maisha yake kamwe hafikirii kuja kuolewa na mwanaume mfupi kwani siyo sampuli yake. Akiongea...
View ArticleHii ndo SIRI ya anguko la ELIMU katika shule zilizofanya vibaya kwenye...
WANAFUNZI wanaosoma darasa la saba katika shule za msingi zilizofanya vibaya kwenye matokeo ya mwaka jana na kushika nafasi za mwisho wilayani Tunduru, wamesema hali hiyo inachangiwa na wazazi...
View ArticleCHADEMA na CCM wazidi kutoana JASHO Kalenga....
Kinamama wa Kijiji cha Makongati, Kata ya maboga, wakishangilia kumpokea Godfrey Mgimwa alipowasili kufanya mkutano wa kampeni... ***** VYAMA vya CCM na CHADEMA vimeendelea kuchuana vikali kwenye...
View ArticleSamsoni Mwigamba afunguka tena ...Adai kuwa CHADEMA ni kikundi cha WAHUNI na...
WAKATI maandalizi yote ya uzinduzi wa chama kipya cha ACT-Tanzania yakiwa yamekamilika, Katibu Mkuu wake Samson Mwigamba, ameiponda CHADEMA kuwa ni kusanyiko la wahuni na si wanasiasa, Hamis Shimye wa...
View ArticleKanisa Katoliki lakanusha taarifa iliyotolewa na vyombo vya habari kuwa...
KANISA Katoliki limekanusha taarifa iliyotolewa na vyombo vya habari kuwa msimamo wa kanisa hilo ni kuwepo kwa serikali tatu katika katiba mpya. Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam...
View ArticleRidhiwani Kikwete afunguka....Adai habebwi na baba yake, Rais Jakaya Kikwete,...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (Nec) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), wilayani Bagamoyo, anayetarajiwa kuwania ubunge Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete, amesema habebwi na baba yake, Rais Jakaya...
View Article