Kinamama wa Kijiji cha Makongati, Kata ya maboga, wakishangilia kumpokea Godfrey Mgimwa alipowasili kufanya mkutano wa kampeni...
*****
VYAMA vya CCM na CHADEMA vimeendelea kuchuana vikali kwenye kampeni za uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga, unaotarajia kufanyika Machi 16, mwaka huu, huku kila chama kikipinga hoja zinazotolewa na mpinzani wake.
Kampeni za vyama hivyo zinazidi kushika
↧