WAKATI
maandalizi yote ya uzinduzi wa chama kipya cha ACT-Tanzania yakiwa
yamekamilika, Katibu Mkuu wake Samson Mwigamba, ameiponda CHADEMA kuwa
ni kusanyiko la wahuni na si wanasiasa, Hamis Shimye wa Gazeti la Uhuru anaripoti..
Mwigamba amewatahadharisha Watanzania kutokubali kurubuniwa na kauli kuwa CHADEMA ndio mkombozi wa taifa. Amesema viongozi wa chama hicho asilimia kubwa
↧