KANISA Katoliki
limekanusha taarifa iliyotolewa na vyombo vya habari kuwa msimamo wa
kanisa hilo ni kuwepo kwa serikali tatu katika katiba mpya.
Askofu Mkuu wa
Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo,
amesema taarifa hiyo si sahihi bali ilitolewa na Tume ya Haki ya Baraza
la Maaskofu pasipo kumshirikisha.
“Wao kama
Watanzania wanayo haki ya kutoa
↧