Mjumbe
wa Halmashauri Kuu ya Taifa (Nec) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),
wilayani Bagamoyo, anayetarajiwa kuwania ubunge Jimbo la Chalinze,
Ridhiwani Kikwete, amesema habebwi na baba yake, Rais Jakaya Kikwete,
katika harakati zake za kisiasa.
Ridhiwani aliyasema hayo alipozungumza na waandishi wa habari juzi jioni
baada ya kutangazwa kwa matokeo ya kura za maoni katika jimbo hilo
↧