WANAFUNZI wanaosoma darasa la saba katika shule za msingi zilizofanya vibaya kwenye matokeo ya mwaka jana na kushika nafasi za mwisho wilayani Tunduru, wamesema hali hiyo inachangiwa na wazazi kuwashinikiza wajaze majibu ya uongo kwenye mitihani yao ya mwisho, ili wafeli kwa lengo la kuwanusuru na mkono wa sheria iwapo watafaulu na kushindwa kuwapeleka sekondari...Gazeti la Majira
↧