Mwanadada mwenye sauti tamu kutoka Jumba la Vipaji Tanzania (THT),
Esterlina Sanga ‘Linah’ amesema katika maisha yake kamwe hafikirii kuja
kuolewa na mwanaume mfupi kwani siyo sampuli yake.
Akiongea na gpl juzikati, Linah alisema atakuwa si mkweli
akitamka ana mwanaume mfupi kwani hata jamii itamcheka kwa kuwa hata
Amini Mwinyimkuu aliyewahi kuwa mpenzi wake ni mfupi.
“Nisiongee
↧