Magari yakipita katika
madimbwi ya maji yaliyotokana na mvua kubwa ya maji iliyonyesha leo
kwenye mitaa ya jiji la Dar es Salaam.
Mvua kubwa iliyonyesha leo mchana imesababisha mafuriko yaliyosababisha uharibifu wa miundo mbinu ikiwa ni pamoja na kuizingira baa ya mtangazaji wa
kipindi cha Wikiendi Bonanza kinachorushwa na kituo cha redio cha Clouds
↧