Juzi kati Wema Sepetu alialikwa kama mgeni rasmi katika hafla ya
chuo cha TFCT cha mafunzo ya filamu kinachomilikiwa na Emmanuel Myamba
"Pastor Myamba" ambaye pia ni star wa filamu nchini.
Wema alialikwa kwa
shinikizo la wanafunzi wa chuo hicho sambamba na Jokate Mwegelo. Wema
aliombwa mwanzoni kuhudhuria tukio hilo na kukubali,
alipopigiwa simu hatua za mwisho alisema hataweza
↧