MSANII wa kike anayetesa kwenye Bongo Fleva, Esterlina Sanga ‘Linah’
ametoa mpya baada ya kuibuka na kueleza wazi kuwa, awapo faragha hapendi
kutumia kinga.
Linah alisema hayo wakati akizungumza na mwakilishi wa gazeti la Risasi
jijini Dar es Salaam wikiendi iliyopita, ambapo alisisitiza kuwa
anachukia sana mipira ya kike na kiume wakati wa tendo kwa vile
zinamkata stimu.
↧